Wednesday, January 02, 2013
R.I.P SAJUKI
01st
Jan, 2013 tumeangalia kipindi cha Mkasi akihojiwa na mtangazaji Salama.
Omg
leo asubuhi ametutoka!!!…..haaaa kweli binadamu hapa duniani ni wapita njia na
hatujui siku, saa wala terehe yeye ametutangulia nasi wote njia yetu ni moja.
Pole
Wastara, poleni wana familia wote, poleni wasanii wote na poleni watanzania
wote.
R.I.P SAJUKI
Innalillahi
Waina Illahi Rajiun
Saturday, December 29, 2012
Monday, November 12, 2012
Our Graduation Ceremony
Our
graduation ceremony at university of dar es salaam computing centre. Oooh thanks
ALLAH (GOD) at the end I made it.
Me & Mom |
Family
Thnkx my family for giving
me a big support at all the time you means a lot to me. I love you all guyz.
Yussura, Me & Mom |
Mrs Sarah, Mom & Yussura |
Friends
You guyz
ata sijui nisemeje nyinyi bana tumekua pamoja katika shida na raha katika heka
heka za mitihani na matokeo, jamani kukimbizana huku na kule, kuibiana
materials yani ni full heka heka na mishe mishe ata sijui niseme nini, but all
in all zilikua ni changamoto za kimaisha katika kusongesha gurudumu la elimu mbele.
You means a lot to me na
mmeniachia memory kubwa sana ambayo haiwezi futika leo wa kesho. Sina la kuwapa
wala la kusema zaidi ya ASANTE
John, Ben, Amyna & Omary |
John, Ben & Omary |
Me & Dada Teddy |
Me & Ben |
Kupitia
AMYNAG BLOGSPOT napenda kuwashukuru walimu wangu, wanafunzi wenzangu, family
yangu na watu wote walio nisaidia kwa namna moja ama nyingine kuweza
kufanikisha masomo yangu.
Nawashukuru
sana yani zaidi ya sana. Mungu awalinde na awapiganie.
Love you
all….Big kiss & hug
Subscribe to:
Posts (Atom)