Friday, July 13, 2012

Ramadhan


Assalaam aleykum

Wadau wa LOVE2KNOW – AMYNAG ule mwezi nzuri kuliko miezi yote (MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN) ndio huo tuna ukaribisha, mwezi wenye kila aina ya rehema na neema, mwezi wenye discipline and respect kwa all Muslim and Non-Muslim.
Tuombe Allah atupe uhai, afya bora, nguvu na riziki za halali tuweze kufunga mwezi huu salama salimin na atukubalie funga zetu….Inshallah mungu atatujaalia sote......Amin

Nawapenda wote.

Friday, July 06, 2012

Ijumaa Kareem

Assalaam aleykum,

Nawatakia Ijumaa njema wote, namuomba Allah (S.W) atukubalie swala na dua zetu na atusamehe madhambi yetu makubwa na madogo. Mbele ya Allah (S.W) hakuna mkamilifu.

Nawapenda wote.