Tuesday, April 10, 2012

PUMZIKA KWA AMANI STEVEN KANUMBA

Ni ngumu kuamini ila ndio ishatokea, binafsi naona kama anaigiza na nasubili igizo liishe, ila sio igizo wala usanii ni kweli kabisa Kanumba ametutoka, Sisi tulimpenda ila Mungu amempenda zaidi na kama tunavyo jua hakuna atakae weza epuka kifo. Mbele yetu nyuma yake na kila nafsi itaonja umauti.

Sote kwapamoja tumuombee dua njema ndugu yetu, msanii wetu, mpendwa wetu, kaka yetu, rafiki yetu. Mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi amini.

Bwana alitoa na bwana ametwaa. 

12 comments:

 1. R.I.P KANUMBA THE GREAT

  ReplyDelete
 2. Ivi ni kweli Kanumba huyu huyu ndio kafa au mwengine jamani, mbona kama ndoto au habali za kutunga jamani. Na kama kweli nani ataweza kua kama kanumba.

  Punzika kwa amani kaka, tulikupenda ila mungu kakupenda zaidi yetu.

  Jane

  ReplyDelete
 3. Yani i wish niweze kuudhulia na kugusa jeneza lako kutoa heshima zangu za mwisho, ila nimeshindwa kutokana na kubanwa na kazi.

  Dua zangu zikufikie kaka, Ulale salama.

  R.I.P STEVEN KANUMBA

  Mariam

  ReplyDelete
 4. We always love u Kanumba.

  Rest in peace bro

  ReplyDelete
 5. I wish you could just get to see all these people cry for you. Upumzike kwa amani kaka.

  ReplyDelete
 6. Ulale pema peponi Steven

  ReplyDelete
 7. Kanumba wwe ni mshumaa ulio zimika gafla sana. Hakuna anae weza kuzuia kifo na kamwe hakuna ila kwanini wwe Kanumba tena mapema sana jamani.

  Hatuna budi kusema yaliyo andikwa yaachwe yatimie, kazi ya mungu haina makosa, pumzika kwa amani jembe


  John

  ReplyDelete
 8. Tumezoea kumsifia mtu akiwa amesha kufa ila kwako Kanumba ukweli acha usemwe ume saidia wengi na kuwotoa wengi sana ambao awana idadi.

  Mungu mpokee mjawako.

  Peter

  ReplyDelete
 9. BIG DADY….Kanumba The Great ameshalazwa kwenye nyumba yake ya milele. I fill so sory to him lky I want cry, still can’t believe you’re gone for forever

  Musa.

  ReplyDelete
 10. Kanumba kifo chako kimutuuma wengi kuanzia watoto mpaka wazeze yani watu wote kwa ujumla. Umati wa watu walio shiriki toka siku ya kwanza ya kifo chako na mpaka kukuzika pale makaburi ya kinondoni ni kielelezo tosha kua wwe na kipenzi cha watu wote.

  Pumzika kwa amani The Great.
  Mrs Nassib.

  ReplyDelete
 11. Pumzika kwa amani Uncle JJ

  Chric

  ReplyDelete