Saturday, May 26, 2012

Jisong La Weekend - Lawama


 Hili jisong ukilisikia bana utake usitake utacheza tu ata kama kwa kutingisha mguu au kichwa au ata kwa kuimba kimoyo moyo......hhaahahahaaaa wapiii watu na bahati zetu babu, jamani sio mimi nisemavyo hivyo nime mnukuu mototo mzuri Shilole.Enjoy kitu cha Lawama by Shilole ft Q Chillah
Love you all...Xoxoo

Thursday, May 24, 2012

Peplum Suit - Hot Trend in Fashion


Jamani Jamani mimi penda hii Style yani haichagui mtu "kwa shape yoyote" wewe tupia tu hii kitu afu utaona matokeo yake. Peplum is a hot trend in fashion, a trend that appears in most of the designers collection in the world. Peplum Suit ina swagga balaaa.


Wana dashoti wamependezaje


Peplum Suit Dress -  Pendeza  Nyinyi 


Me penda hii dress

No Comment kwa kweli

Hahahahahah hapana chezea hii kitu kwa kweli hata uwe na shape ya aje lazima ikutoa bana.


Love you all...xoxo

Tuesday, May 15, 2012

Happy Family Day

 Siku ya familia duniani huadhimishwa kila mwaka May 15, na kauli mbia ya mwaka huu ni “UWAJIBIKAJI SAWA KATIKA MAJUKUMU: MSINGI WA FAMILIA BORA.

Wadau wote wa AmynaG Blog tukaeni na familia zetu kuchambua na kupanga mikakati ya maendeleo endelevu katika familia zetu. Tuzithamini, tuzipende, tuzieshimu na tufanyie familia zetu mambo yote muhimu ambayo yanafaa na yanastahili kuzifanyia familia zetu.

Wana familia upendo ndio msingi muhimu wa kudumisha amani na maendeleo ndani ya familia na taifa kwa Ujumla.
Picha zote hapo juu ni baadhi ya wanafamilia ya Gama.
Mungu zibariki kila Familia duniani, Mungu zibariki Familia zote za Tanzania....Amini. 

Happy Birthday Kiran


Kiranito ndani ya pose

Youth is happy because it has the ability to see beauty. Anyone who keeps the ability to see beauty never grows old. Happy Birthday my dear friend with lots of are and love, you will never wish that this day will ever end. for we wish you an AmAzInG HaPpY bIrThDaySaturday, May 05, 2012

Enjoy

Wadau wangu burudikeni na hii mijisong.

R. Kelly - When a woman loves

Celine Dion - The power of love

Weekend njema na nawapendeni sana.