Wednesday, January 18, 2012

EXAMINATION RESULTS (UCC)


To all my fellow student at University of Dar es Salaam Computing Centre (UCC)  Examination results and Timetable for supplementary & special exams.

Hongereni wote mliofaulu, pia pole kwa wale wote walio pata sup na walio disco poleni sana 
Click this link kuona matokeo 
http://www.ucc.co.tz/news_events/view_news_item.php?id=81&intVariationID=1&szTitle=Current


Tumshukuruni Mungu sana zaidi ya sana, Nawashukuru wote kwa sala zenu na maombi yenu. At the end nimemaliza chuo two year ilikua mingi sana, but am thnks god nimemaliza salama salimini, Naishukuru sana family yangu Mama Gama, Mrs Salar, Mrs Nassib, my big sister Mama shalwa Mende na members wote wa Gama Family kwa support yenu kwangu ya hali ya juu, napenda sema sina cha kuwalipa but inshallah dua njema nawaombea.


Wana UCC WD2 & WD1 nyinyi watu ata sijui nisemeje sababu tumekua kama watoto wa familia moja kusoma pamoja kubadilishana madalasa kushare materials na resources za UCC pamoja yani sijui nni niseme juu yenu, ila nawashukuruni sana. Wana Bwalo hahahahaa hapa sasa ndio patamu nyinyi watu siwezi wasahau Mzee Mahundi, Neema (Mama G), Mr Isaack, Mr Magambo Jeremiah, Kelvin Keldom, Calvin Mziray, Loveness, Modester, Ben (Kilimo), Chris Akim......u guyz nawafil sana.


Thanks all jamani kwa support yenu kwangu ya hali ya juu sina cha kuwalipa ila mungu atawalipa. 


Nawapenda sana.