Tuesday, April 10, 2012

PUMZIKA KWA AMANI STEVEN KANUMBA

Ni ngumu kuamini ila ndio ishatokea, binafsi naona kama anaigiza na nasubili igizo liishe, ila sio igizo wala usanii ni kweli kabisa Kanumba ametutoka, Sisi tulimpenda ila Mungu amempenda zaidi na kama tunavyo jua hakuna atakae weza epuka kifo. Mbele yetu nyuma yake na kila nafsi itaonja umauti.

Sote kwapamoja tumuombee dua njema ndugu yetu, msanii wetu, mpendwa wetu, kaka yetu, rafiki yetu. Mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi amini.

Bwana alitoa na bwana ametwaa.