Monday, November 12, 2012

Our Graduation Ceremony

Our graduation ceremony at university of dar es salaam computing centre. Oooh thanks ALLAH (GOD) at the end I made it.
Me & Mom
 
Family
Thnkx my family for giving me a big support at all the time you means a lot to me. I love you all guyz.

Yussura, Me & Mom


Mrs Sarah, Mom & Yussura

Friends
You guyz ata sijui nisemeje nyinyi bana tumekua pamoja katika shida na raha katika heka heka za mitihani na matokeo, jamani kukimbizana huku na kule, kuibiana materials yani ni full heka heka na mishe mishe ata sijui niseme nini, but all in all zilikua ni changamoto za kimaisha katika kusongesha gurudumu la elimu mbele.
 
You means a lot to me na mmeniachia memory kubwa sana ambayo haiwezi futika leo wa kesho. Sina la kuwapa wala la kusema zaidi ya ASANTE
John, Ben, Amyna & Omary

John, Ben & Omary

Me & Dada Teddy
 
Me & Ben

Kupitia AMYNAG BLOGSPOT napenda kuwashukuru walimu wangu, wanafunzi wenzangu, family yangu na watu wote walio nisaidia kwa namna moja ama nyingine kuweza kufanikisha masomo yangu.
Nawashukuru sana yani zaidi ya sana. Mungu awalinde na awapiganie.
 
Love you all….Big kiss & hug

6 comments:

 1. Mmmmmh pendeza nyinyi mashallah

  ReplyDelete
 2. mmetokelezea jamani. Hongereni sana

  Frank

  ReplyDelete
 3. Woow very nice psc. Hogereni guyz and kp it up

  ReplyDelete
 4. Kiukweli tulipendeza sana tu.
  Asanteni wote kwa pongezi zenu mungu awa bariki na kuwalinda.

  ReplyDelete
 5. Hili vazi ni raha sana kulivaa hasa uliwa umehitimu, ila kazi ipo kwenye kusoma ile mikimbizano ya hapa na pale, kwenye mitihani ndio kazi ipo hapo.

  Mmependeza sana na hongereni

  Ms. Juliana

  ReplyDelete
 6. Ammy huyo mtoto mbona kazuri hivyo naona kamepoz na bibi yake mwenyewe habari hapati ni mtoto wako. Nimempenda kwa kweli

  Mrs Nassib

  ReplyDelete