Thursday, May 24, 2012

Peplum Suit - Hot Trend in Fashion


Jamani Jamani mimi penda hii Style yani haichagui mtu "kwa shape yoyote" wewe tupia tu hii kitu afu utaona matokeo yake. Peplum is a hot trend in fashion, a trend that appears in most of the designers collection in the world. Peplum Suit ina swagga balaaa.


Wana dashoti wamependezaje


Peplum Suit Dress -  Pendeza  Nyinyi 


Me penda hii dress

No Comment kwa kweli

Hahahahahah hapana chezea hii kitu kwa kweli hata uwe na shape ya aje lazima ikutoa bana.


Love you all...xoxo

6 comments:

 1. Mmmmmh Amyna kweli hii ni hot. Ata ukiwa kaa pipa itakutoa bomba 2.

  Sophia

  ReplyDelete
 2. Realy Hot Babe.

  Joanna

  ReplyDelete
 3. Wooow hii mishono kwakweli. Lov this style

  Emmy

  ReplyDelete
 4. @ Sophia umeona eeeh, yani haichagui.
  @ Joanna, u love this style?
  @ Emmy hii kweli mishono umeona, ila umpate fundi wa uwakika other wise ukipata fundi magumashi utajuta.

  Love u all..xoxoo

  ReplyDelete
 5. Nimeona mom.

  Sophia.

  ReplyDelete
 6. Hivi ViPeplum Suit vimetulia mbaya


  Jane

  ReplyDelete