Thursday, March 01, 2012

Women's Day

When:  Thursday 8 March 2012

Where: Any where


International Women’s Day (8 March) is an occasion marked by women's groups around the world. Is a global day celebrating the economic, political and social achievements of women past, present and future. 

In some place international women’s day is a national holiday, but in my country (Tanzania) there is no holiday in this big day for all women. 


Kwa wanawake wato popote pale walipo haijalishi u-kabila gani, u-dini gani, upo chama gani cha siasa, aijalishi nafasi yako ni nani kikazi yani haijalishi chochote kile tushikamane, tusaidiane, tumendane yani tuwe kama kumbi kumbi au misafara ya siafu katika kusongesha kurudumu la maendeleo ya mwanamke, familia na taifa kwa ujumla. Kwani sote tunajua uki muelimisha mwanamke ama ukimuwezesha mwanamke umewezesha jamii nzima na taifa kwa ujumla.

Love all women around the world.

5 comments:

 1. Ushilikiano ni kitu muhimu sana kwa wanawake wote duniani, tupenadane jamani, tushikamane tuwe pamoja kwenye kuinuana kiuchumi sio tunakua pamoja kwenye masherehe na misiba tu.

  Luv u Ammy
  Mrs Nassib

  ReplyDelete
 2. Amyna nyinyi wanawake wenyewe hanpendani kazi kujunguana tu unazani kweli kutakua kuna mshikamano wa kweli kama sio kudanganya nafsi zenu. siku zote adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie. Msipoteze muda wenu kwa hili.

  ReplyDelete
 3. I love it Amyna

  Juliana

  ReplyDelete
 4. Wanawake mshikamano daima.

  Jane

  ReplyDelete
 5. Umoja ndio mshikamano madhubuti. So all women let us be together for each and every thng.

  ReplyDelete