Tuesday, January 07, 2014

Number One Remix - Diamond Ft Davido

Hii ndio remix ya wimbo wa NUMBER ONE kutoka kwa Diamond feat Davido sasa ipo tayari na tena ndio hii hapa chini.
Enjoy  

20 comments:

 1. Daaah dogo namkubali mbaya. Keep it up Diamond sukari ya warembooooo
  Hahahahahaaha hunters watanuna sana

  ReplyDelete
 2. My #1, my swt swt #1, my babiyoooooo #1 rohooo yangu mama. Yani me napenda hapo tu kwengine mie akaaaa nawashia wenyewe

  ReplyDelete
 3. Bro uko njema sana kaza buti uclewe misifa

  ReplyDelete
 4. hii sindio suruali yake ya mistali stati sijui ndio punda zebra zebra iliyo letaga kiyai yai (kizaa zaa) kwenye mitandao? hahahaaa au mie sioni vizuri.

  ReplyDelete
  Replies
  1. mdauzzz ndioo hii hii aisee watu walimsemaje kisa suruali yake mwenyewe. Watu walivyokua na midomo milefu utafikiri walimchangia pesa ya kununulia iyo suruali

   Delete
  2. wewe nawe huoni vizuri nini au zuga. hahahhaa ndio hiyo hiyo watu waliyo mchambia over wao hawakoseagi kwenye mavazi, Kwanza Dai wala akukosea mwenyewe aliamua tena um sure before kutoka chumbani alijiangalia kwenye kioo mara kazaa na akarizika na nafsi yake kwamba yupo poa, ametokelezea na vitu kama hivyo. ila wabongo midomo asili yetu na hivi atulipii VAT hahahahaa watu waliporomokaje maneno

   Delete
 5. Wacha movie iendelee...hahaahaa bongo movie orrrrrr.
  Dogo una maneno hatareeeeee

  ReplyDelete
  Replies
  1. Iyo itakua bongo movie am sure...Dogo huyu kweli ni noumer

   Delete
 6. huyu d-domo nae ovyoo sasa ndio nini si bora asinge toa hii yani ile ya kwanza ndio ilikua MY NUMBER ONE kweli kweli hii ya pili mmmh nakataa lamba hii aseme My Number 2.......ovyoooooo

  ReplyDelete
 7. Kawimbo kazuri ila mbona kafupiiii Diamond, eti my swt tupate baridi kidogo kawimbo kafupi

  ReplyDelete
  Replies
  1. umeona ata wewe eeeeeeh. Kawimbo kafupi kweli ila katamu mweeeeeh

   Delete
 8. Made in TANZANIA.....Um proud of u Diamond

  ReplyDelete
 9. TeamDiamond.....respect miaka 99999999999999. Good Job Diamond

  ReplyDelete
  Replies
  1. umeona eeeh dogo anafanya vyema sana

   Delete
  2. hahahahahahaah wacha movie iendeleeeeeeeeeeeeeeee

   Delete
 10. KEEP IT UP DIAMOND

  ReplyDelete
 11. Hapana chezea Daidomo kwa kweli. Kazi nzuri DaiDomo

  ReplyDelete
 12. Sijaipenda hata kidogo hii remix. Ile ya kwanza ndio ilikua safi sana

  ReplyDelete
 13. kichupa kimetulia

  ReplyDelete