Thursday, January 09, 2014

African Sandals

zipo nyingi na design tofauti tofauti. Mzigo mpya umeingia
Hizo picha hapo juu ni design chache tu nilizo weka ila ukiitaji wasiliana nami.
 Mnunulie mkeo hata girl friend wako, nyumba ndogo yako, dada yako, mama yako, shangazi yako.
Jamani kuungana mkono ndio habariiiii ya mjini…….Lol
  
Bbm Pin: 29D24E8F
Skype: Amyna02
WhatsApp: +255 784 220 178

Karibuni sana kizuri kula na wenzio.

2 comments:

  1. kweli kizuri kula na mwenzio wallahi. Na kuungana mkono ndio mambo yote.
    keep it up my dear

    ReplyDelete