Tuesday, September 24, 2013

Westgate Attack - Kenya.

Lets all say a prayer for our friends and neighbor in Kenya.
East Africa #WeAreOne.
 
 

12 comments:

 1. We pray 4u guyz. Mungu u-nanyi wpendwa.
  Poleni sana. EA WeAreOne forever

  ReplyDelete
 2. Westgate attack real sad.
  WeAreOne East Africa daima na milele mungu unasi.

  ReplyDelete
 3. Poleni sana waKenya.

  ReplyDelete
 4. R.I.P Kwa wote walio tangulia katika tukio la Westgate Kenya. WeAreOne

  ReplyDelete
 5. Mmmmmh haya majanga++++.
  Watanzania tunatakiwa tujifunze kitu hapa #WestGate. Poleni wakenya wote #EAweareone.

  ReplyDelete
 6. Tuko pamoja nanyi ndugu zetu wakenya katika kipindi hiki kigumu. M.Mungu awatie nguvu na mioyo ya subra na uvimilivu. Mungu awaponye majeruhi wote kwaharaka na afya zao zitengamae vizuri kabisa. Pia mwenyezi azilaze roho za marehemu mahala pema peponi......Ameen Ameen.

  ReplyDelete
 7. Jamani wana Africa Mashariki na tuendelee kuwaombea wezetu wakenya naa mini mungu atajibu maombi yetu. Kwani wenzetu wapo katika kipindi kigumu hasa.

  Mungu bariki Africa, Mungu bariki EA Africa, Mungu bariki Kenya.

  ReplyDelete
 8. kwani hii dunia jamani inaenda wapi, inasikitisha sana kwa kweli.
  East Africa #WeAreOne. Mungu tuone waja wako na tuepushe na haya majanga.
  poleni wakenya wote kwa hili janga.

  ReplyDelete
 9. Poleni sana ndugu zetu

  ReplyDelete
 10. Poleni majirani zetu ama kwa hakika hili jambo ni kubwa c dogo na naamini nnchi jirani ama Afrika kwa ujumla zitakua zimejifunza kitu hapo. Hichi ni kipindi kigumu sana kwa wakenya wote poleni sana yani zaidi ya sana.

  ReplyDelete
 11. Jambo zuri sana kupeana support nchi kwa nchi. Poleni sana wakenya wote

  ReplyDelete