Friday, October 11, 2013

Eid El Hajj

 
Eid El Hajj itakua tarehe 16/10/2013 na hiyo ndio taharifa kutoka Bakwata (BARAZA KUU LA WAISLAM WA TANZANIA).
 
AmynaG inawatakia waislam wote maandalizi mema ya Eid El Hajj.

7 comments:

 1. ohooooo sasa ndio nini hivyo bakwata watu tulishapiga mahesabu ya lng wk-end

  ReplyDelete
  Replies
  1. sasa wewe anon ulitakaje?? Bakwata asanteni sana.

   Delete
  2. Anonymous & Jey Jey Please guys msichafue hali ya hewa humu ndani.
   Asanteni na nawapenda wote.

   Delete
 2. Asanteni Bakwata kwa taarifa hii maana ilikua mkanganyiko sana hasa kwa sisi wa upande mwengini huu

  ReplyDelete
 3. Ubarikiwe kwa kutujuza.

  ReplyDelete
 4. same 2u madam AMYNAG preparation njema

  ReplyDelete