Wednesday, January 02, 2013

R.I.P SAJUKI


Ningumu sana kwangu kuamini na si kwangu tu naamini kwa watanzania wote kama kweli SAJUKI hatunae tena duniani.
01st Jan, 2013 tumeangalia kipindi cha Mkasi akihojiwa na mtangazaji Salama.
Omg leo asubuhi ametutoka!!!…..haaaa kweli binadamu hapa duniani ni wapita njia na hatujui siku, saa wala terehe yeye ametutangulia nasi wote njia yetu ni moja.
Pole Wastara, poleni wana familia wote, poleni wasanii wote na poleni watanzania wote.
 
R.I.P SAJUKI
Innalillahi Waina Illahi Rajiun

 
 

No comments:

Post a Comment