Showing posts with label Ijumaa Kareem. Show all posts
Showing posts with label Ijumaa Kareem. Show all posts

Friday, April 04, 2014

Jummah Kareem


Alhamduillah another Jummah master of all days has come again

Ijumaa ya heshima maudhi yasikufike
Akubariki karima radhi zake zikufike
Akupe yalo mema maradhi yakuondoke
Neema hadhi yako isishuke.
Amin wala bila lamin

Jummah Kareem