Friday, April 04, 2014

Jummah Kareem


Alhamduillah another Jummah master of all days has come again

Ijumaa ya heshima maudhi yasikufike
Akubariki karima radhi zake zikufike
Akupe yalo mema maradhi yakuondoke
Neema hadhi yako isishuke.
Amin wala bila lamin

Jummah Kareem

4 comments:

 1. Inshallah dua hili liwe kwetu sote wote waja wa umati wa Mtume wetu Muhamad (S.W)

  ReplyDelete
 2. amin walabila la mina

  ReplyDelete
 3. Ijumaa Nikiamka Furaha Hunijaa,
  Hua Nakukumbuka Moyoni Umenikaa, Dua Kwa Sub'hana Sichoki Kukuombea, Mola Akupe Ikhlasi Na Uzidi Kufanikiwa.
  Amin Amin Amin.
  JUMAA MUBARAK!

  ReplyDelete