Thursday, May 08, 2014

Mishono ya vitengeHaya wadau wanawake wote kwa ujumla.
 Embu jichagulie jishono lako hapo yani kwa raha zako mwanamke.
Mtafute fundi wako alipo alafu mpekazi mambo ya copy na paste ila editing pia inaruhusiwa.
Wahenga walisema fahali ya macho haifilisi dukaaaa.

Source: BellaNaija

No comments:

Post a Comment