Friday, February 28, 2014

Al Jumaa Maqbur


Salamu za Ijumaa kwa dhati nakutumia. Furaha imenikaa na dua nakuombea.
Mola akupe shifaa na moyo ulotulia. Rabbi akujaze twaa, upate kuong'okewa.
Kila lenye manufaa njia kukunyooshea. Akulinde na balaa, kheri kukumiminia.
 
"AL JUMAA MAQBUR".

4 comments:

 1. kWETU SOTE WOTE INSHA'ALLAH

  ReplyDelete
 2. Mashaallah nyc msg mom.
  Same to you

  ReplyDelete
 3. Alhamdulillah maneno muzuri sana wallah. Al Jumaa Maqbur

  ReplyDelete
 4. ujumbe mzuri sana wallah.
  Sema Alhamdilillah x3
  Alhamdilillah, Alhamdilillah, Alhamdilillah

  ReplyDelete