Tuesday, November 22, 2011

BEST OF LUCK TO ALL UCC STUDENTS.

Helloo Guyz...Jamani msione kimya sana nilikua kwenye maandalizi ya mitihani yangu ya kumalizia chuo ambayo mungu akipenda tunaanza kufanya jumatatu ya tarehe 28/11/2011 - 12/11/2011. Kwa wale wa 1st semester, 2nd semester na 3rd semester jamani mkaze buti sana sababu huku juu ni matata sana

Wana UCC nawapenda sana wote pia nawatakia wote maandalizi mema na mitihani mema, mwenyezi mungu atupe afya njema atupiganie na kutulinda kwa kila hali.Maandalizi mema

Mtihani mwema wapendwa
 Nawapenda sana

11 comments:

 1. Best umejiandaaje wwe. Kama nakuona mama kitu cha mhasibu hall patakua apatoshi hahhhahahahaha...

  wawatakia kia maandalizi mazuri jamani

  K WD2.

  ReplyDelete
 2. Thanks Amyna na same to you.

  ReplyDelete
 3. Congratulation all of u coz hiyo ni step moja wapo ya kusonga mbele katika kutafuta mafanikio.
  Dua njema nawaombea mfanye mitihani yenu salama mmalize salama. Mdogo wangu sasa ndio unamaliza chuo karibu ulaiyani mama

  Frank G.

  ReplyDelete
 4. Hongereni sana kwani ni hatua kubwa sana mmepiga katika maisha, Amyna my girl karibu tena ulaiyani na huo sio mwisho wa elimu naamini na nategemea baada ya matokeo kutoka utajiunga na level nyingine ya juu zaidi.

  Best of luck to all student wanao karibia kufanya mitihani ya kumaliza chuo au waliokwisha fanya mitihani yao ya kuhitimu. Mungu awalinde na kuwapigania katika kila jambo, pia nawaombea mpate matokeo mazuri.

  Ur Isack N.

  ReplyDelete
 5. Hongereni sana jamani kwani mmejitaidi sababu kumaliza chuo sio kutu kidogo

  one love

  ReplyDelete
 6. Waaaaaaaaaaaaapiiiiii Amyna huyo. Mom thnkx much kwa wishes zako nami nakutakia ze same to u.

  ReplyDelete
 7. Hongera sana Amyna. But umejipangaje kwenye soko la ajira.

  ReplyDelete
 8. Linda
  Ni jambo zuri sana kutimiza malengo au kufanikisha jambo lako. Hongera sana kwako mom. Nakutakia mafanikio n mungu akuongoze vyema

  ReplyDelete
 9. Asanteni sana wote kwa maombi yenu. Jana ndio nimemaliza mtihani mungu nisaidie sup zisiwepo sio kwangu tu hata kwa wanafunzi wanzangu pia.

  Asanteni wote kwa maombi yenu. Shukurani zaidi kwa my family Mama Gama, dada zangu na group member wenzangu wote wa bwalo.

  Nawapenda sana

  ReplyDelete
 10. wwe mwanamke upo ushamaliza chuo. Naona matunda ya Mr. Urassa haya.

  kp it up girl.

  ReplyDelete