Tuesday, December 13, 2011

Hongeleni WD1 na WD2 (UCC Student)

Wapendwa wangu tujipeni hongela kwa kumaliza mitihani salama maana du!!! Hali ilikua ngumu afu tata balaa. Ila yote kwa yote mungu ashukuliwe sana kwani tumamaliza salama mitihani yetu hakuna alie kamatwa. Ila tusichoke kuomba mungu akawaongoze wasaishaji wasaishe mitihani yetu vizuri kabisa, sup zisiwepo wote tupate matokeo mazuri.

Hizi ni picha za mchakato mzima wa kusoma yani ilikua ni mwendo wa kufanya discussion mwanzo mwisho                      
Amyna najiandaa kwenda kwenye discussion

Baadhi ya group member wenzangu wakiwa kwenye discussion

Mzee Mahundi akigonga code kitu cha Linux
From Left side Omary, Jerry, Kusekwa and John wataaramu wa Linux

 
Tunu, Chris and Isaac wakifurahia kumaliza mtihani
 
Ben and Mboki nao wakiwa wanafuahia kumaliza mtihani

Yani hayo yote ni majembe yangu afu nayakubali mbaya. Hongereni sana.

Nawapenda wote     

 
                             

3 comments:

 1. Woooooow Amyna, its so nice yani jana kila m2 alikua happy maana two years sio midogo. Kweli mungu abaki kuitwa mungu

  ReplyDelete
 2. Me nawashukuru walimu wangu wote pamoja na uwongozi mzima wa UCC kwakweli wamejitaidi sana kutufundisha japo lika upande unamapungufu yake.

  Wanafunzi wenzangu nawashukuruni pia kwa ushilikiano wenu kama tulikwanzana sehemu yoyote tusameheeane sisi wote ni wanadamu tena hakuna alie kamilika.

  Mwana WD2

  ReplyDelete
 3. Mmejitaidi sana. So graduation lini

  ReplyDelete