Thursday, October 31, 2013

Back 2 Africa
 
Kwa wale wa viminoooo mpooooo
Wow soooo nice - Back 2 Africa yani kiafrica zaidi.
Mishono yote mizuri sana, madadazz jichagulie jishono lako.
Ila kumbuka kushagua mshono kulingana na shape yako sio mshono tu ili mladi mshono sababu umeupenda.
 shoger utaja chekesha walio nuna ukaona wanakutafuta kumbe weye mwenyewe ndio umewapa la kucheka.
 
Credit: Bella Naija

11 comments:

 1. aiseeee mishono imetulia hatareeeee

  ReplyDelete
 2. hiyo mishono ni noma sanaaaaa

  ReplyDelete
 3. hahahhahaha umenichekesha wallah ""shoger utaja chekesha walio nuna ukaona wanakutafuta kumbe weye mwenyewe ndio umewapa la kucheka."" hapa umenena mpnz maana na cc wanawake tunavyojua kuchekana sana

  ReplyDelete
 4. Wooow mishono mizuri sana mashaallah

  ReplyDelete
 5. kiukweli nimevutiwa na huo mshono wa pili kutoka juu sooooo nice.
  acha nimtafute fundi jumaaaaa alipo mie anifanyie mambo

  ReplyDelete
 6. mmmh mimi penda sana back 2 Africa yani ni noma sana

  ReplyDelete
 7. Omg iyo ya pili kutoka mwisho am dead here nimependa huo mchono 2 the maximum...lol

  ReplyDelete
 8. Duuuh iyo ya kwanza Gold na Orange ni nyokooo mbaya

  ReplyDelete
 9. Wooooow so lvly hiyo michono yani ni matata balaaa

  ReplyDelete
 10. nichono yote ni mizuri

  ReplyDelete