Monday, November 11, 2013

Khadija’s Kitchen Part

Bride: Khadija A. Maneno
Event: Kitchen Part
Venue: Lamada Hotel
Color: Babe Yellow & Black
MC: Jojo
Date: 10/11/2013

Jana ilikua siku muhimu sana na siku ya kukumbukwa kwa bidada Khadija kwa K.Part yake kufanyika na kufana vilivyo na kubwa zaidi kufanyika kwa usalama.

Sio kwa bidada Khadija tu itakua siku ya kukumbukwa hata kwa familia nzima ya Mrs. Hawa J. Rupia. Kila la kheri mamito katika safari yako mpya ya maisha ya ndoa.

Tuna kila sababu ya kumshukuru Allah Alhamdulillah kwa hili kupita salaam na Insha Allah na yote mengine yatapita kwa usalama wa salimini.
 
Khadija weeeeeee toto la Kinyawezi
Mama na mwana
Mrs. Hawa J. Rupia pendeza sana mamake
 
Khadija na madada zake


Pendeza nyinyi Masha’Allaah
Cake time yoooooo
Khadija akijianda kukata cake

Mama na mwana wakilishana cake
Kiss kwa ishara ya upendo na asante kwa kila kitu mama. Mwaaaaaah
 

Wifi akipokea cake kwa niamba ya mume mtarajiwa

Red carpet
 
Wapi Mc Jojo
Masha’Allah tulipendeza wote yani ni hatareeeeee


Kwa niaba ya bi harusi wetu mtarajiwa na wanafamilia tuna penda kusema asanteni sana marafiki zetu, ndugu zetu, majirani zetu na wote walio shiriki nasi katika jambo hili kwa njia moja ama nyingine. Ama kwa hakika tuna wapenda sana.


AmynaG penda nyinyi sana.


6 comments:

 1. MASHAALLAAH BI HARUC MZURI

  ReplyDelete
 2. mmependezajeeee jamani yani hatareeeee.
  hahahaahha wapi Mc Jojo aka mama wa mashauziiiiiiii anakuambia mwanamke jishebedue mke mwenzio akujue.....hahahhaahha tenaaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 3. Duh c mcheze mendenza nyie sana. Me namtaka huyo mc jojo nina k.part ya mdogo wangu naomba unisaidie number yake plzzzzz. Tenx mom

  ReplyDelete
 4. Woooow mmependeza sana mashallah na hiyo mishono nyoko hatari.
  congratulation bi harusi ndio uwende kwa mumeo ukatulie utulizane

  ReplyDelete
 5. Duh watu nyie mmependeza balaa naona mlikua kiafrika zaidi. Naona mwendo wa vitenge mwanzo mwisho. Safi sana na mlipendeza sana kiukweli.

  ReplyDelete
 6. Mmeng'aaje sasa yani hatareeeeee

  ReplyDelete