Friday, May 16, 2014

Ijumaa Maqbur

Hakuna binadamu anayeweza kuwa mpweke ndo maana kivuli huwa karibu yako. Hakuna binadamu aliyekamilika ndo maana hata viungo vya mwanadamu haviko sawa. Hakuna binadamu asiyefanya makosa ndo maana hata penseli zimewekewa ufutio.
Yote hayo yanamaanisha kuwa binadam tuna udhaifu mkubwa, hivyo ni wajibu wetu kuvumiliana. Tafakari maneno haya kisha chukua hatua.
Ijumaa Maqbur.

1 comment: