Friday, September 06, 2013

Ijumaa Kareem

Anza siku mpya. Jana ilikuwepo na sasa haipo tena, yaliyopita usiyape nafasi ya kukuumiza wala kukukatisha tamaa, anza siku ya leo,
kwa moyo safi, bila ya machozi, bila ya hofu, bila ya woga. Uwe mwenye furaha daima na ukimtumainia Mungu na kumtumikia na ukiamini hakuna mwingine kama Mungu basi utafanikisha kila jambo ulitakalo.
Ijumaa Kareem.

2 comments:

  1. Yaillah mola wetu turidhie waja wako> Kasoro ya matendo yetu, tupe msamaha wako. Kosa ni umbo letu, ukamilifu ni wako. Zipokee ibada zetu kabla kurudi kwako. Pepo mafikio yetu, hii kwa rehma yako. Wakinge watoto wetu wapate nusra yako. Kila jema lije kwetu, hilo kwa ridhaa yako. ubaya usifike kwetu, tunaomna kinga yako. Ameeeen.

    Ijumaa Kareem 2 ol

    ReplyDelete
  2. Ijumaa ni siku bora sana kwa waislam wote. Mola wetu tupe subra, zipe imani nyoyo zetu, tusamehe makosa yetu, uwarehem wazee wetu, riziki za hlali ziwe zetu. In Sha'Allah yallabi atajibu dua na maombi yetu.
    Amini walabillah lamini.

    ReplyDelete