Friday, September 20, 2013

Ijumaa Kareem

Hakika wewe ni miongoni mwa ndugu zangu, namuomba "ALLAH" asikunyime lolote katika mambo haya:
Pumzi na afya yake, Riziki na rehema  zake,  Huruma na msamaha wake
Nusra zake na radhi zake, Baraka na kila jema kutoka kwake.
Lakini mwisho, Akurisishe pepo kwa uradhi wake na kila utakalomuomba akupe.
Hakika yeye ndie "Tajiri na Mfalme” ndie mtoaji wa kila kitu "Yaa Allah" tutakabalie dua zetu.
Ameen Ameen.
Ijumaa Kareem.

5 comments:

 1. Alhamdulillah. Yeye ndio TAJIRI na MFALME hakuna wa kumfananisha nae.
  Yaa Allah tutakabalie dua zetu.

  ReplyDelete
 2. Amin walabila lamin

  ReplyDelete
 3. Ubalikiwe kwa dua nzuri japo mimi si muislamu ila hili dua limenigusa sana na naamini mungu atatenda jambo kwangu na kwa watu wote. Utukufu wa mungu uwe juu yako my dear

  ReplyDelete
 4. Nikuombee nini kitacholingana na mazuri yako.
  Ewe mwenye ihsan unae kumbuka wenzako, Mwenye wingi wa imani, upendo na ikram ndio khulka zako.
  InshaAllah Mwenyezi Mungu akujaalie kila la kheri katika maisha yako. Ijumaa njema.

  ReplyDelete
 5. Aaaamiiiin In Shaa Allah kwa uma wote wa kiislam

  ReplyDelete