Thursday, October 29, 2015

Vitenge - Wax Original #3

Karibuni wapenzi wetu wote #VitengeVitengeVitenge tunamaanisha #WaxOriginal #WaxVitenge #NoFakeZone. Kwa Shilingi 50,000.00 rejareja na kwa wale wanao taka jumla ili nao wakauze wasiliana nasi tutakupatia bei nzuri, pia tunatuma mikoani.
Kwa wale wote wenye shughuli na wanatafuta sare za Vitenge kwa ajili ya shughuli zenu msipate tabu AMYNAG tupo kwa ajili yenu tuta wachangulia kitenge kulingana na rangi za sherehe yenu tena kitenge bora na sio bora kitenge ikiwa tu mtanunua kwetu.
 
Wasiliana na sisi kwa simu namba +255 767 220 178 - 
Call / Sms / Whatsapp / Viber / Imo / Telegram 
pia tufollow Instagram: vitenge.amyna.gama

2 comments: