Saturday, April 06, 2013

Loveness Kessy Send Off

Bride: Loveness Kessy
Venue: Next Door

Color: Orange, Blown & Gold


Kaka Akimleta dadake ukumbini
Mtoto Mashallaah..Pendaza mwaya

It's your day hny furahi kwa raha zako mtoto wa kichaga...Hahaaaaaahaha

Pendeza nyie hatareeeeeee

Mmmmh mpambe nae mashalaa

Shoger alimsakaje barafu wa moyo wake. Chezea toto la kichanga weee. So sweet.
 
All da best mpnz in your new life
 

4 comments:

 1. Huyu ni Loveness Kessy yule alie soma UCC or.??! Umependaza mama.

  ReplyDelete
 2. Mtoto Mashallaah umependeza sana.
  Mungu akujaalie ndoa yako itawaliwe na amani, furaha, upenda na kila aina ya baraka.

  Am happy for you girl.

  S.

  ReplyDelete
 3. So mwaaaaa ol da best kpenziii

  ReplyDelete