Friday, July 18, 2014

Ijumaa Mubarak & Ramadan Mubarak

Yarrab nakuomba utupokelee Swaum zetu, Dua zetu, Sala zetu, Rukuu zetu, Sujud zetu
Yarrab tusamehe pale tulipo kosea, Yarrab tulindie vizazi vyetu
Yarrab nakuomba utupe mwisho mwema na utujaalie toba kabla ya Mauti zetu, Shahada wakati wa Mauti zetu na utupe uwezo wa kutamka “ASH HADU AL-LAILA HA ILLAH LLAH WA’ASH HADU ANNA MUHAMAD RASUULULLAH” kabla ya mauti na tupate kurehemewa na Pepo Tukufu baada ya Mauti zetu
Yarrab warehem umati Mahamad (S.A.W) ulio tangulia mbele za haki
Yarrab nakuomba utuepushe na kila baya lililo kusudiwa kwetu umati Mohamad (S.A.W), Yarrab unajua maitaji ya mioyo yetu nakuomba utubariki na utupatie maitaji ya mioyo yetu yale yaliyo mema.
Waafuana Waghfilana Warhamna Anta Maulana Fansurna Allaa Kaumi Lkafiriin
Insha’Allaah sote kwa pamoja tuitikie……Amin Alhamdulillah Rabilla Alamin

Ijumaa Mubarak & Ramadan Mubarak

2 comments:

  1. AMINA YARRAB LA LAMIN

    ReplyDelete
  2. Ya Allaah twakuomba upokee dua zetu na maombi yetu.

    ReplyDelete