Friday, August 03, 2012

Ramadhan Kareem & Ijumaa Njema

Asalaam alaykum Warahmatullah Wabarakatu.
Nakutakieni ijumaa njema yenye furaha na baraka ndani yake pia nawatakia ramadhan na swaum njema wadau wa Amynag na watanzania wote kwa jumla. Mwenyezi Mungu atukinge na kila baya la duniani na azikubali funga zetu inshallah.
Nawapenda  wote.

2 comments:

  1. Nawe pia ijumaa njema

    ReplyDelete
  2. Kwaumati wote wa Mtume wetu Mohamed (S.W).

    Omary

    ReplyDelete