Friday, June 07, 2013

Ijumaa Kareem

Ilahi Mola wetu, turidhie waja wako, Maovu matendo yetu, tupe msamaha wako.
Kukosa ni umbo letu, ukamilifu ni wako. Pokea ibada zetu, kabla kurudi kwako.
Warehemu vipenzi vyetu,walotangulia kabla yetu.
Nasi tupe takhfifu, ufikapo wakati wetu. Duniyani si kwetu, ni mapito ya kwenda kwetu.
Tujaalie maskani yetu, jannatul firdaus iwe kwetu.
 
Ijumaa Munawar Insha' Allah

2 comments:

  1. Amiin walabila lamini

    ReplyDelete
  2. Alhamdullilaah.

    Jumaa Mubaraak na kwako pia.

    Said

    ReplyDelete