Friday, April 25, 2014

Happy Muungano Day

Kesho 26/04/2014 Watanzania tuta adhimisha miaka 50 ya Muungano tangu nchi zetu Tanganyika na Zanzibar zilipoungana na kuzaa nchi ya Tanzania.

Nchi zetu hizi mbili yaani (Jamuhuri ya Tanganyika ambayo kwa sasa ni Tanzania bara pamoja na Jamuhuri ya Zanzibar - inayojumuisha Visiwa vya Pemba na Unguja) ziliungana na kuwa nchi moja.

Tanganyika na Zanzibar ziliungana April 26, mwaka 1964 na mbipo ilipo zaliwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaanzia.  

Happy Muungano Day Watanzania wenzangu wote na popote mlipo.

No comments:

Post a Comment