Ilahi Mola wetu, turidhie waja wako,
Maovu matendo yetu, tupe msamaha wako.
Kukosa ni umbo letu, ukamilifu ni wako. Pokea ibada zetu, kabla kurudi kwako.
Warehemu vipenzi vyetu,walotangulia kabla yetu.
Nasi tupe takhfifu, ufikapo wakati wetu. Duniyani si kwetu, ni mapito ya kwenda kwetu.

Tujaalie maskani yetu, jannatul firdaus
iwe kwetu.
Ijumaa Munawar Insha' Allah