Tuesday, June 21, 2016

VITENGE MISHONO AMAZING


Le wadauzi tuoshe macho na vijimishono amazing. Le goooo and kamatia kijimshono kako na utafute fundi wako akufanyie mambo.

NB: Changua mshono kulingana na umbile lako ndugu.

VITENGE VITENGE NEW IN STOCK

Kutana na Mkali wa hizi mambo.  #JulyVitenge # VitengeOriginally #VitengeClassic #VitengeCollection
Tunatoa mishono ya aina zote kwa wateja watakao penda.
Tunafungisha sare kwa wale wote wenye sherehe za aina mbali mbali na wataitaji KITENGE kua ndio sare yao.

Tunauza Jumla na Rejareja. Tshs kwa rejareja  45,000.00.  
Call /Whatsapp  +255 767 220 178
Follow Instagram: Vitenge_Collection.

Karibuni sana.