Tuesday, February 16, 2016

VITENGE - AFRICAN PRINT

 
 
 
 
 
Kutana na Mkali wa hizi mambo.  #FebruaryVitenge # VitengeOriginally #VitengeClassic #VitengeCollection

Tunatoa mishono ya aina zote kwa wateja watakao penda.
Tunafungisha sare kwa wale wote wenye sherehe za aina mbali mbali na wataitaji KITENGE kua ndio sare yao.

Tunauza Jumla na Rejareja. Tshs kwa rejareja  50,000.00.  
Call /Whatsapp  +255 767 220 178
Follow Instagram: Vitenge_Collection.

Karibuni sana.