Saturday, August 23, 2014

Sare Sare In KITENGE

Sare Sare mambo ya Copy & Paste
Kutoka Bella Naija mpaka Bongo Dar es salaam…..Hahahahaha

Hapana chezea fundi wangu kabisa
Fundi Rama mitaa ya magomeni dawasco keep it up bro.

Thank you Bella Naija for nice mishonoooo

Wednesday, August 20, 2014

Motivation Words


Thank you ALLAH for loving me unconditionally. I believe in you ALLAH. 



Friday, August 01, 2014

African Sandals kwa jinsia zote -BP3







African Sandals zipo design tofauti tofauti kwa jinsia zote -Tzs 25,000.00 tu.
Jamani kuungana mkono ndio mambo yote na kizuri kula na wenzio, tafadhali
usisite kumwambia na mwenzio.

Jiunge Facebook group page yetu https://www.facebook.com/groups/AfricanSandals/
Phone# +255 767 220 178, Bbm: 29D24E8F, Skype: Amyna02
Email: Amyna.gama@yahoo.com & Amyna01@gmail.com

Karibuni sana.

Motivation Words

Making mistakes is something everyone does. Learning from them is not.
Everything is going to be alright, maybe not today, but eventually. Happy New Month August & Jumaa Mubarak