Friday, May 16, 2014

African Sandals











African Sandals mzigo ndio huo, zipo design tofauti tofauti.
Wamama/wadada karibuni sana, kwa wakaka/wababa
tafadhali wanunulie uwapendao.
Jamani kuungana mkono ndio mambo yote
 na kizuri kula na wenzio, tafadhali
usisite kumwambia shogayooo.

Phone# +255 767 220 178, Bbm: 29D24E8F, Skype: Amyna02

African Style






Credit: StyleMeAfrica

Ijumaa Maqbur

Hakuna binadamu anayeweza kuwa mpweke ndo maana kivuli huwa karibu yako. Hakuna binadamu aliyekamilika ndo maana hata viungo vya mwanadamu haviko sawa. Hakuna binadamu asiyefanya makosa ndo maana hata penseli zimewekewa ufutio.
Yote hayo yanamaanisha kuwa binadam tuna udhaifu mkubwa, hivyo ni wajibu wetu kuvumiliana. Tafakari maneno haya kisha chukua hatua.
Ijumaa Maqbur.

Thursday, May 08, 2014

Mishono ya vitenge











Haya wadau wanawake wote kwa ujumla.
 Embu jichagulie jishono lako hapo yani kwa raha zako mwanamke.
Mtafute fundi wako alipo alafu mpekazi mambo ya copy na paste ila editing pia inaruhusiwa.
Wahenga walisema fahali ya macho haifilisi dukaaaa.

Source: BellaNaija

Rihanna shows off her butt crack

Rihanna shows off her butt crack in a very low cut dress
Mmmh jamani hizi fashion & style hatareeeee.

Mabibi harusi watarajiwa inawahusu

Wednesday, May 07, 2014

Cake Mguso



Guys comment zetu tafadhali waonaje hivyo vitu hapo juu.Vinasisimua Wallah.
Mie mwenzenu vimenigusa hasa sijui nyie.
Haya tuenjoy sie na hii fahari ya macho

Credit: Bella Naija