Thursday, November 14, 2013
Monday, November 11, 2013
Khadija’s Kitchen Part
Bride:
Khadija A. Maneno
Event:
Kitchen Part
Venue:
Lamada Hotel
Color:
Babe Yellow & Black
MC:
Jojo
Date:
10/11/2013
Jana
ilikua siku muhimu sana na siku ya kukumbukwa kwa bidada Khadija kwa K.Part
yake kufanyika na kufana vilivyo na kubwa zaidi kufanyika kwa usalama.
Sio
kwa bidada Khadija tu itakua siku ya kukumbukwa hata kwa familia nzima ya Mrs. Hawa J. Rupia. Kila
la kheri mamito katika safari yako mpya ya maisha ya ndoa.
Tuna
kila sababu ya kumshukuru Allah Alhamdulillah kwa hili kupita salaam na Insha
Allah na yote mengine yatapita kwa usalama wa salimini.
Khadija weeeeeee toto la Kinyawezi
Mama na mwana
Mrs. Hawa J. Rupia pendeza sana mamake
Khadija na madada zake
Pendeza nyinyi Masha’Allaah
Cake
time yoooooo
Kiss kwa ishara ya upendo na asante kwa kila kitu mama. Mwaaaaaah
Wifi akipokea cake kwa niamba ya mume mtarajiwa
Red
carpet
Kwa
niaba ya bi harusi wetu mtarajiwa na wanafamilia tuna penda kusema asanteni
sana marafiki zetu, ndugu zetu, majirani zetu na wote walio shiriki nasi katika jambo hili kwa njia moja ama nyingine. Ama kwa hakika tuna wapenda
sana.
AmynaG
penda nyinyi sana.
Subscribe to:
Posts (Atom)