Thursday, October 31, 2013

Back 2 Africa




 
Kwa wale wa viminoooo mpooooo




Wow soooo nice - Back 2 Africa yani kiafrica zaidi.
Mishono yote mizuri sana, madadazz jichagulie jishono lako.
Ila kumbuka kushagua mshono kulingana na shape yako sio mshono tu ili mladi mshono sababu umeupenda.
 shoger utaja chekesha walio nuna ukaona wanakutafuta kumbe weye mwenyewe ndio umewapa la kucheka.
 
Credit: Bella Naija

Tuesday, October 29, 2013

Tahadhari juu ya neno MAISHA

 
Elewa sio kila anaye cheka na kufurahi na wewe ukadhani ndie Rafiki,
 Utu wao umo ktk Macho, lakini Nafsi zao zimebeba; Husda, Uadui, Uchawi, Choyo na Roho Mbaya.
 
Furaha zao kukuona unaharibikiwa na hasira zao kukuona umefanikiwa.
 Wangapi uliwaamini, ukawapenda, ukawasaidia, ukawaona ndugu, ukawapa siri zako!
Na LEO ndio maadui zako? Kweli maisha ni watu lakini kuwa muangalifu nao sana!

Credit: Uncle Ngaya.

Tuesday, October 15, 2013

Eid Ul Adha


Hope that you and your family are blesses with Allah’s love and care on Eid Ul Adha and always.
 
Wishing you and your family a blissful Eid Ul Adha.

Friday, October 11, 2013

Eid El Hajj

 
Eid El Hajj itakua tarehe 16/10/2013 na hiyo ndio taharifa kutoka Bakwata (BARAZA KUU LA WAISLAM WA TANZANIA).
 
AmynaG inawatakia waislam wote maandalizi mema ya Eid El Hajj.