When: Thursday 8 March 2012
Where: Any where
International Women’s Day (8 March) is an occasion marked by women's groups around the world. Is a global day celebrating the economic, political and social achievements of women past, present and future.
Where: Any where
In some place international women’s day is a national holiday, but in my country (Tanzania) there is no holiday in this big day for all women.
Kwa wanawake wato popote pale walipo haijalishi u-kabila gani, u-dini gani, upo chama gani cha siasa, aijalishi nafasi yako ni nani kikazi yani haijalishi chochote kile tushikamane, tusaidiane, tumendane yani tuwe kama kumbi kumbi au misafara ya siafu katika kusongesha kurudumu la maendeleo ya mwanamke, familia na taifa kwa ujumla. Kwani sote tunajua uki muelimisha mwanamke ama ukimuwezesha mwanamke umewezesha jamii nzima na taifa kwa ujumla.

Love all women around the world.
Ushilikiano ni kitu muhimu sana kwa wanawake wote duniani, tupenadane jamani, tushikamane tuwe pamoja kwenye kuinuana kiuchumi sio tunakua pamoja kwenye masherehe na misiba tu.
ReplyDeleteLuv u Ammy
Mrs Nassib
Amyna nyinyi wanawake wenyewe hanpendani kazi kujunguana tu unazani kweli kutakua kuna mshikamano wa kweli kama sio kudanganya nafsi zenu. siku zote adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie. Msipoteze muda wenu kwa hili.
ReplyDeleteI love it Amyna
ReplyDeleteJuliana
Wanawake mshikamano daima.
ReplyDeleteJane
Umoja ndio mshikamano madhubuti. So all women let us be together for each and every thng.
ReplyDelete