Yesterday it was a big day to one of my friend IREEN MBAJO ametimiza miaka kazaa mwenyewe ya kuzaliwa. Office iliamua kumfanyia Special Surprise bila hata mimi swaiba yake kujua. Yani ilikua special surprise because time ambayo ndio tunafunga office watu tusha shuka chini kujiandaa kuondoka tunaambia subili afu maboss zetu wakawa wanaongea kihindi huku wakitaja jina la swaiba wangu nikamuuliza mom umefanya nini mbona hawa watu wanaonge kikwao then wanakutaja wewe...kumbe bwana ndio walikua wanaandaa cake na kutuzuga, mara wakamwita bidada haaa alipo enda kitu nimepozi kwenye menza juu kimeandikwa happy b’day Ireen…hakuamini macho yake bonge la mchangaoo binti aliupata…
Do you want to know what next.... ilikua ni mwendo wa kukata cake na kuwalisha watu bahati mbaya yeye mwenyewe hakula becouse alikua yupo kwenye fasting...
|
Suprise |
|
Akikata Cake |
|
Mtoto kidogo agome kukata Cake |
|
Akisaidiwa kukata |
|
Boc akila kipande chake |
|
Happy with pc of cake |
|
Utamu jipe mwenyewe.... Hahahaha watu hawakusubili walishwe walianza kujilisha wenyewe |
|
Cake tamu jamani haichagui umri |
Happy Birthday my sweet girl. You know mimi luv you aaaah. Keep in touch my one.