Saturday, June 04, 2011

3rd Semester Exams

Good morning Freinds.

To be honesty i need maombi yenu coz nakaribia kuaanza mitihani ya kumaliza 3rd semester.

Naombeni sana sana dua zenu na maombi yenu kwa wingi kwa dini yoyote ile na mungu atakubariki kwa kila utakacho fanya.Visit this wabsite www.ucc.co.tz to see exam time table n kama unapenda pia kuongeza elimu kwenye upande huu wa ICT i hope UCC kitakufaa zaidi.

Without forgetting to wish all UCC student ambao wataanza mitihani Monday 6th june and Tuesday 7th june, 2011Thanks much n luv u all.....

No comments:

Post a Comment