Helloo Guyz...Jamani msione kimya sana nilikua kwenye maandalizi ya mitihani yangu ya kumalizia chuo ambayo mungu akipenda tunaanza kufanya jumatatu ya tarehe 28/11/2011 - 12/11/2011. Kwa wale wa 1st semester, 2nd semester na 3rd semester jamani mkaze buti sana sababu huku juu ni matata sana
Wana UCC nawapenda sana wote pia nawatakia wote maandalizi mema na mitihani mema, mwenyezi mungu atupe afya njema atupiganie na kutulinda kwa kila hali.
 |
Maandalizi mema |
 |
Mtihani mwema wapendwa |
Nawapenda sana